Americo Gonçalves
Muandishi wa Angola
Americo Gonçalves alifariki mnamo mwaka 2014 alikuwa ni mwandishi wa habari wa nchini Angola.[1]
Americo Gonçalves | |
Amekufa | 2 Agusti 2014 |
---|---|
Nchi | Angola |
Kazi yake | Mwandishi wa habari |
Maisha
haririMwaka 1990 Gonçalves alianzisha gazeti la kila wiki la Angolense na A Capital.[1] Kama mhariri mkuu wa Angolense,mwaka 2000 yeye pamoja na mhariri mwingine walipatikana na hatia ya kumkashifu gavana wa jimbo katika magazeti yao walipatikana na hati na kutumikia adhabu kwa muda wa miezi mitatu.[2] Gonçalves alishinda tuzo yaMaboque Journalism Prize mwaka 2010 kutoka na mchango wake kwa waandishi wa habari wa Angola. Alifariki tarehe 2 Agosti mwaka 2014.
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Angola: Media Ministry Regrets Journalist Américo Gonçalves' Death". Angopop. Iliwekwa mnamo 28 Februari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Two journalists convicted of defaming official; two others begin trial". Committee to Protect Journalists. 12 Desemba 2000. Iliwekwa mnamo 28 Februari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Americo Gonçalves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |