2010
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 20 |
Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990 |
Miaka ya 2000 |
Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
2006 |
2007 |
2008 |
2009 |
2010
| 2011
| 2012
| 2013
| 2014
| ►
| ►►
Jan.
| Feb.
| Mac.
| Apr.
| Mei
| Jun.
| Jul.
| Ago.
| Sep.
| Okt.
| Nov.
| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2010 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
hariri- 4 Januari - Paulo Ahyi, msanii aliyeunda bendera ya Togo
- 5 Januari - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Januari - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil
- 22 Machi - James Black (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)
- 19 Aprili - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani
- 5 Mei - Umaru Yar'Adua, Rais wa Nigeria (2007-2010)
- 29 Mei - Dennis Hopper, msanii wa Marekani
- 7 Juni - Oliver N'Goma, mwanamuziki kutoka Gabon
- 18 Juni - Jose Saramago (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1998)
- 5 Septemba - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini
- 23 Oktoba - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 13 Desemba - Remmy Ongala, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 17 Desemba - Captain Beefheart, mwanamuziki kutoka Marekani
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: