Amfipoli (kwa Kigiriki: Αμφίπολη, Amfipoli; zamani: Ἀμφίπολις, Amfipolis) ni mji wa Ugiriki kaskazini mashariki. Una wakazi 9,182 (2011).

"Simba ya Amfipoli".

Unatajwa na Biblia ya Kikristo kwa kuwa mwaka 49 au 50 Mtume Paulo, katika safari yake ya pili ya kimisionari, alipitia huko baada ya kukimbia Filipi kutokana na dhuluma akielekea Thesalonike pamoja na Sila (Mdo 17:1).

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amfipoli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.