Amie Bojang-Sissoho

Mwanaharakati na mwanasiasa wa Gambia

Amie Bojang-Sissoho ni mwandishi wa habari, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwanasiasa wa nchini Gambia. Aliwahi kuwa mkurugenzi wa vyombo vya habari na uhusiano wa umma na mwanamke wa kwanza wa Gambia kuteuliwa na rais Adama Barrow[1].

Amie Bojang-Sissoho
Amezaliwa
Gunjur
Nchi Gambia
Kazi yake mwandishi wa habari, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwanasiasa. Aliwahi kuwa mkurugenzi wa vyombo vya habari

Historia na elimu hariri

Bojang-Sissoho alizaliwa huko Gunjur. Baba yake alikuwa Imam Hatab Bojang (1937-1984)[2] na mama yake alikuwa Ya Khan Jobe. Bojang-Sissoho alisomea shahada ya kwanza katika masomo ya habari na utamaduni katika chuo kikuu cha Southampton, Uingereza[3]Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag<ref>{{Cite web|url=https://www.equalitynow.org/the_gambia_call_on_the_government_of_the_gambia_to_ensure_a_fair_trial_for_anti_fgm_activists_dr_isatou_touray_and_amie_bojang_sissoho%7Ctitle=The Gambia: Call on the Government

  1. https://standard.gm/amie-bojang-sissoho-director-of-press-at-state-house/
  2. "Profiles in Faith: The Life and Times of the late Sheikh Hatab Bojang". June 18, 2017.  Check date values in: |date= (help)
  3. http://www.africanfeministforum.com/two-prominent-gender-and-human-rights-defenders-detained-in-the-gambia-dr-isatou-touray-and-amie-bojang-sissoho/