Amina Mahmoud Warsame ni mwanasayansi wa kijamii wa Somalia[1] ambaye aliwahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa (Nagaad)ambalo ni kundi la wanawake huko Hargeisa Somaliland.[2] Pia ni mwandishi wa masuala ya kijamii na kiutamaduni ya kukeketwa kwa wanawake (FGM).

Warsame aliishi nchini Sweden baada ya kukimbia Somalia kuepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Somalia.[2]. Alisaidia kupatikana utafiti wa wanawake wa Somaliland na (Action Group - SOWRAG), baadae mwaka 2005 aliomba ridhaa kuingia katika bunge la Somaliland akawa mmoja wa wanawake wa kwanza kufanya hivyo.[3]

Elimu hariri

Warsame alipewa shahada ya uzamili katika maendeleo ya binadamu na Taasisi ya mafunzo ya jamii katika chuo cha Hague.

Marejeo hariri

  1. Isman, Elisabeth; Mahmoud Warsame, Amina n.k. (2013). "Midwives' Experiences in Providing Care and Counselling to Women with Female Genital Mutilation (FGM) Related Problems". Obstetrics and Gynecology International 2013: 785148. PMC 3791569. PMID 24163698. doi:10.1155/2013/785148. 
  2. 2.0 2.1 Meehan, Emily. "The Social Democrats", Slate, 20 August 2008. 
  3. Verjee, Aly (2015). The Economics of Elections in Somaliland: The financing of political parties and candidates. London and Nairobi: Rift Valley Institute. uk. 2. ISBN 9781907431364. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Warsame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.