Aminetou Mint El-Moctar

mwanaharakati wa haki za wanawake


Aminetou Mint El-Moctar (alizaliwa [['Aminetou Mint El-Moctar', 13 Disemba 1956) ni mwanasiasa wa nchini Mauritania na mpambania haki za wanawake.

Aminetou Mint El-Moctar

Nchi Mauritania
Kazi yake Mwanaharakati na Mwanasiasa

Aliorodheshwa kwenye Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2015 na ni mwanamke wa kwanza kuwekwa kwenye hizo tuzo.

Maisha ya mwanzo hariri

El-Moctar alikua katika familia ya hali ya juu yenye watoto nane. Alipofikisha miaka 11, baba yake aliandaa ndoa kwa ajili yake, ambayo alikuwa akiiwekea nguvu, japokuwa ndoa ilifanikiwa na mtoto wake wa kwanza alizaliwa alipokuwa na miaka 14[1].

Tanbihi hariri

  1. "Aminetou Mint El-Moctar", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-12, iliwekwa mnamo 2022-02-21