Amirijeshi mkuu

Amirijeshi mkuu (kwa Kiingereza: "commander-in-chief" ni kiongozi wa majeshi yote katika nchi fulani.

Kwa mfano nchini Tanzania amirijeshi mkuu ni rais: ndiye anayetoa amri kwa majeshi yake. Kwa sasa amirijeshi wa sasa Tanzania ni John Pombe Magufuli.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amirijeshi mkuu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.