Amnesty

Amnesty inajulikana kama msamaha unatolewa na serekali kwa kikundi cha watu, kwa kawaida kwa ajili ya makosa ya kisiasa;[1] kitendo cha mamlaka huru kusamehe kikundi cha watu flani ambao wamefunguliwa mashitaka  ila bado hawaja hukumiwa. Japo neno Msamaha wa jumla ina maana sawa.[2] Amnesty inajumuisha zaidi ya msamaha, kwa kiasi inafuta ukumbusho wote wa kosa. Hii inazidi kutumika kuelezea wazo la uhuru na kurejea pale wafungwa wanapoachwa huru.

MarejeoEdit

  1. "Amnesty", 1911 Encyclopædia Britannica, Volume 1, retrieved 2022-08-15 
  2. GENERAL PARDON Definition & Meaning - Black's Law Dictionary (en-US). The Law Dictionary (2013-03-28). Iliwekwa mnamo 2022-08-15.