Mamlaka (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza "authority" kutoka neno la Kilatini auctoritas) linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya serikali kama mahakama, bunge na vyombo vya dola.

Bunge, Mhimili wenye mamlaka mojawapo ikiwa ni kutunga sheria

Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au taasisi, huwa linamaanisha chombo kinachotawala ambacho kimepewa nguvu, kwa mfano: Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro.

Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha haki ya kufanya kitu fulani.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.