Amur Oblast
Amur Oblast ni jina la kutaja oblast ambayo ni mkoa ulioko nchini Russia. Eneo lake ni km² 361.913 na idadi ya wakazi ni 860.686 (mwaka 2011). Makao makuu yako mjini Blagoveshchensk.
Mkoa wa Amur uko katika kusini - mashariki ya Siberia mpakani wa China kando la mto Amur ulio mpaka mwenyewe.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- (Kirusi) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 27 Novemba 2004 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Amur Oblast kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |