Ana Bjelica (alizaliwa 3 Aprili 1992) ni mchezaji wa mpira wa nyavu kutoka Serbia anayecheza kwa ajili ya Megabox Vallefoglia. Ni dada mdogo wa wachezaji wa mpira wa kikapu Milko na Milka Bjelica.

Ana Bjelica , mnamo mwaka 2014

Familia yake inatokea Serbia na Montenegro lakini aliamua kwenda kinyume na ndugu zake na kuiwakilisha Serbia badala ya Montenegro.

Mnamo mwaka 2020 alijiunga na Beijing BAIC Motor kutokea China lakini alishindwa kucheza kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa uviko 19, na kumsababishia kurudi Železničar Lajkovac.

Mwaka 2021 alishinda Kombe la Serbia na kujiunga na Poland Radom Radomka katika mchujo[1].

Marejeo hariri