Anda ni nguo inayovaliwa chini ya nguo nyingine, mara nyingi hugusana na ngozi. Huzuia nguo za nje kuchafuliwa na jasho.

Pia huunda mwili na kusaidia kushilikia sehemu nyingine za mwili, na katika hali ya hewa baridi husaidia kuleta joto katika mwili na kutunza joto.

Mavazi ya anda yanaweza kutumika kulinda adabu ya yule anayevaa, na pia huwafanya mwonekano wa kupendeza.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.