Andreas Christensen
Andreas Christensen (alizaliwa 10 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anaichezea klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya Denmark.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andreas Christensen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |