Andrew John Chenge (amezaliwa 24 Desemba 1948) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bariadi kwa miaka 20152020. [1][2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.jamiiforums.com/threads/mfahamu-mtanzania-andrew-chenge-ambaye-huwa-anahusishwa-kwenye-kashfa-nyingi.1267083/