Andrew Garfield
Andrew Garfield (amezaliwa tar. 20 Agosti 1983) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.
Andrew Garfield | |
---|---|
Garfield mnamo 2014 | |
Amezaliwa | Andrew Russell Garfield 20 Agosti 1983 Los Angeles |
Filamu
haririMwaka | Filamu | Kama | Maelezo |
---|---|---|---|
2007 | Lions for Lambs | Todd Hayes | |
2007 | Boy A | Jack Burridge / Eric Wilson | Alishinda tuzo ya British Academy Television Award for Best Actor |
2008 | The Other Boleyn Girl | Francis Weston | |
2009 | The Imaginarium of Doctor Parnassus | Anton | |
2009 | Red Riding | Eddie Dunford | |
2010 | I'm Here | Sheldon | |
2010 | Never Let Me Go | Tommy D. | Alishinda tuzo za Hollywood Film Festival Award for Breakthrough Actor Saturn Award for Best Supporting Actor |
2010 | The Social Network | Eduardo Saverin | Alishinda tuzo za Hollywood Film Festival Award for Breakthrough Actor Hollywood Film Festival Award for Best Ensemble of the Year London Film Critics' Circle Award for Best British Supporting Actor |
2012 | The Amazing Spider-Man | Peter Parker / Spider-Man |
Marejeo
haririViungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrew Garfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |