1983
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1979 |
1980 |
1981 |
1982 |
1983
| 1984
| 1985
| 1986
| 1987
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1983 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 19 Septemba - Nchi ya Saint Kitts na Nevis inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 26 Januari - Gorilla Zoe, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Februari - Miriam Odemba, mwanamitindo kutoka Tanzania
- 10 Machi - Lashinda Demus, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 22 Mei - Cynthia Muvirimi, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
- 20 Juni - Sylvia Bahame, mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2003
- 24 Juni - John Lloyd Cruz, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 27 Julai - Blandina Changula, mwigizaji filamu nchini Tanzania
- 20 Agosti - Andrew Garfield, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Septemba - Kristine Hermosa, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 21 Septemba - Anna Favella, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 14 Novemba - Lil Boosie, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 25 Februari - Tennessee Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Machi - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 17 Machi - Haldan Hartline, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 22 Mei - Albert Claude, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 25 Mei - Mfalme Idris I wa Libya
- 10 Septemba - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 17 Oktoba - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1 Novemba - Jan Matejko, mchoraji kutoka Poland
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: