Andrew Tarimo (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania) ni profesa wa kitaaluma na mtafiti kutoka Tanzania ambaye amebobea katika uhandisi wa umwagiliaji na mifumo ya usimamizi wa maji. [1] [2]. Pia anatoa anafindisha na ni simamizi katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Idara ya Sayansi ya Uhandisi na Teknolojia, hapo awali Idara ya Kilimo Uhandisi na Mipango ya Ardhi. [3] [4] [5]

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Publications by Andrew Tarimo at ResearchGate

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Tarimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.