Uhandisi

Uhandisi ni elimu ya sayansi kutatua matatizo ya kiutendaji.

Injini ya mvuke iliyochangia kikubwa katika mapinduzi ya viwanda.
Jengo lili jengwa na wahandisi kutoka roma huko ufaransa

Mhandisi ni mtu anayetumia elimu hiyo, kwa mfano katika fani ya ujenzi.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhandisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.