Angakati ni tabaka la tatu la angahewa, kati ya angatando na angajoto. Katika angakati, halijoto inapungua kadiri kimo kinavyoongezeka. Tabia hiyo huweka mipaka ya angakati. Mpaka wa chini uko takribani kimo cha km 50, (yaani mpakatando), na mpaka wa juu uko takribani kimo cha km 80 (yaani mpakakati).[1]

Kivuko cha angani katika angakati
Matabaka ya angahewa

Marejeo hariri

  1. "Middle atmosphere". www.antarctica.gov.au. Iliwekwa mnamo 17 June 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)