Angel Kamugisha

Angel Apolinary Kamugisha (amezaliwa tar. 11 Agosti 1988Muleba, mkoa Bukoba, Tanzania) ni mwigizaji wa filamu nchini Tanzania. Kabila yake ni Mhaya, kazi yake ni Uigizaji.

Kamugisha anasema, napenda sanaa kuliko kitu chochote katika maisha yangu, alivyoambiwa kuwa amekubaliwa kujiunga na kundi la Alwatan Artists Theatre alifurahi sana.

Ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kujiunga na kundi kubwa kama Alwatan. Sambamba nikiwa nashirikiana na wasanii maarufu waliocheza sinema ya Uwanja wa Dhambi, I love you, Picnic, Joram Lazima ufe. Kwa kweli sikuweza kuamini mara kwanza. Lakini ndio hivyo.

Ni msanii anayempenda wa Kitanzania ni Angel Mbagwile aliyecheza filamu ya Bunge la wachawi. Na Muigizaji wa nje anayempenda ni Brigita wa The Long wait.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angel Kamugisha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.