Muleba
Muleba ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Muleba katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35501 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,464 waishio humo.[2]
Muleba | |
Mahali pa Muleba katika Tanzania |
|
Majiranukta: 1°50′26″S 31°39′22″E / 1.84056°S 31.65611°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Muleba |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 18,464 |

Kaigara shule ya msingi na Rubungo shule ya msingi ni kati ya shule maarufu sana na za zamani zilizokuwepo tokea zama za ukoloni, shule hizi zilikuwa na upinzani wa jadi katika taaluma na michezo na wanafunzi wa shule nyingine waliwaogopa sana wanafunzi kutoka shule hizo.
Waziri wa ardhi nyumba na makazi Anna Tibaijuka alisoma Kaigara Shule ya Sekondari enzi za ukoloni.
Marejeo hariri
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Muleba-District-Council
Kata za Wilaya ya Muleba - Mkoa wa Kagera - Tanzania |
||
---|---|---|
Biirabo | Bisheke | Buganguzi | Buhangaza | Bulyakashaju | Bumbire | Bureza | Burungura | Goziba | Gwanseli | Ibuga | Ijumbi | Ikondo | Ikuza | Izigo | Kabirizi | Kagoma | Kamachumu | Karambi | Kasharunga | Kashasha | Katoke | Kerebe | Kibanga | Kikuku | Kimwani | Kishanda | Kyebitembe | Mafumbo | Magata Karutanga | Mayondwe | Mazinga Kisiwa | Mubunda | Muhutwe | Muleba | Mushabago | Ngenge | Nshamba | Nyakabango | Nyakatanga | Ruhanga | Rulanda | Rutoro |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Muleba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |