Angelina Tsere

mkimbiaji wa masafa marefu Tanzania


Angelina Daniel Tsere (alizaliwa 23 Agosti 1999 [1]) ni Mtanzania mwanariadha mkimbiaji wa mbio ndefu. Alishiriki katika mbio za juu za wanawake kwenye mashindano ya IAAF world across country championship ya mwaka 2019 yaliyofanyika Aarhus, Denmark[1] Alimaliza katika nafasi ya 78.

Angelina Tsere
Majina mengine Angelina Daniel Tsere

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 https://media.aws.iaaf.org/competitiondocuments/pdf/6265/AT-XSE-W-f----.RS6.pdf?v=21598225
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angelina Tsere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.