Anjana Sultana (27 Juni 19654 Januari 2025) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka Bangladesh.

Aliigiza zaidi ya filamu 300. Alishinda Tuzo ya Kitaifa ya Filamu ya Bangladesh kwa mwigizaji bora kwa nafasi yake katika filamu ya Parineeta mwaka 1986. [1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Actress Anjana Rahman Passes Away". Bd24live | Bangla Online News Portal (kwa American English). 2025-01-03. Iliwekwa mnamo 2025-01-03.
  2. "Anjana Rahman passes away at 59". The Daily Star (kwa Kiingereza). 4 Januari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anjana Sultana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.