Anna Boeseken

Msomi wa historia ya Afrika Kusini, mwandishi wa habari na mwandishi

Anna Böeseken (Pretoria, 23 Agosti 1905; Cape Town, 28 Juni 1997) alikuwa mwandishi wa nakala za kihistoria pamoja na uandishi wa habari wa Afrika Kusini[1] Alijulikana kwa umahiri wake wa kuandika historia hasa Dutch East India Company kati ya miaka ya 1602 na 1798.[2]

Anna Böeseken
Amekufa 28 Juni1997
Cape Town
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake mwandishi wa habari

Wasifu

hariri

Wazazi wa Boeseken wana asili ya Makaburu. Alisomea nchi mbili ikiwemo Afrika Kusini na Uingereza.

Wanafunzi hasa wakileo wanamchukulia kama mwandishi aliebobea katika tathnia yake ya historia kama Dutch East India Company. The 2013 publication in the journal Historia volume 48, Issue 2, titled "Historia - Dr. Anna Boëseken (1905-1997) : kenner van die Kaapse VOC-geskiedenis (English: Expert of Cape VOC history) "examined her contribution in making the history of the VOC in South Africa accessible and interpreting it for both the expert and layman".[2]

Mnamo mwaka 1964 alianzisha Jumuiya ya Ukoo ambayo ilichapisha jarida la kila robo "Familia" [3]

Marejeo

hariri
  1. Romero, Patricia (1998-08-31). Profiles in Diversity: Women in the New South Africa (kwa Kiingereza). MSU Press. uk. 1900. ISBN 9780870139482.
  2. 2.0 2.1 Wet, Con De (2003-11-01). "Dr. Anna Boëseken [[(1905-1997)]] : kenner van die Kaapse VOC-geskiedenis". Historia (kwa Kiafrikana). 48 (2). ISSN 0018-229X. {{cite journal}}: URL–wikilink conflict (help)
  3. Breuer, Rosemarie. "Anna Jacoba Böeseken". www.stellenboschwriters.com. Iliwekwa mnamo 2017-11-29.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Boeseken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.