1905
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1901 |
1902 |
1903 |
1904 |
1905
| 1906
| 1907
| 1908
| 1909
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1905 BK (Baada ya Kristo).
Matukio Edit
Waliozaliwa Edit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 1 Februari - Emilio Segre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 7 Februari - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 14 Machi - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 21 Machi - Phyllis McGinley, mshairi kutoka Marekani
- 18 Aprili - George Hitchings, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 24 Aprili – Robert Penn Warren, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1958
- 16 Mei - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 17 Mei - John Patrick, mwandishi kutoka Marekani
- 24 Mei - Mikhail Sholokhov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965
- 21 Juni - Jean-Paul Sartre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1964
- 25 Julai - Elias Canetti, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1981
- 29 Julai - Stanley Kunitz, mshairi kutoka Marekani
- 24 Agosti - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi
- 3 Septemba - Carl David Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 24 Septemba - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 30 Septemba - Nevill Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 23 Oktoba - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
bila tarehe
- Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar
Waliofariki Edit
- 14 Juni - Tippu Tip, mfanyabiashara Mtanzania mashuhuri)
- 14 Septemba - Pierre Brazza