Anna Joram Gidarya

Anna Joram Gidarya (alizaliwa tarehe 23-9- 1982), ni mwanasiasa Mtanzania . Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020 kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). [1]

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Anna Gidarya alijiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM. Kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe.

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017