Anna Mudeka

mwanamziki

Anna Mudeka ni mwanamuziki, mfanyabiashara na mratibu wa matamasha ya muziki wa nchini Zimbabwe[1].

Ni mratibu wa Tamasha la Southburgh[2] la Muziki wa Dunia huko Southburgh katika wilaya ya Breckland katikati ya Norfolk, mashariki mwa nchi ya Uingereza.

Tamasha hilo linachangisha fedha kwa ajili ya Mudeka Foundation, shirika la hisani ambalo linatoa msaada kwa kuwapatia yatima mahitaji muhimu nchini Zimbabwe kama vile fursa ya kupata elimu.

Marejeo hariri

  1. https://www.greatbritishlife.co.uk/people/out-of-africa-6947290
  2. https://www.norfolk-norwich.com/norfolk/villages/s/southburgh.php
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Mudeka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.