Anna Phosa ni mmoja ya wafugaji wakubwa wa nguruwe, na msambazaji mkubwa wa nyama ya nguruwe nchini Afrika ya Kusini.[1] Ni mmoja ya kina mama wachache wajasiriamali katika ufugaji wa kibiashara wa nguruwe nchini Afrika ya Kusini.

Anna Phosa
Kazi yake Mfugaji

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-28. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Phosa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.