Anna Richard Lupembe

mwanasiasa kutoka Tanzania

Anna Richard Lupembe (amezaliwa tarehe 26 Aprili 1966) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu Anna Richard Lupembe". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-03.  Mengi kuhusu Anna Richard Lupembe]

Viungo vya nnje hariri