Anne Daw ni mtetezi na msimamizi wa rasilimali maji na ardhi kuu ya kilimo nchini Australia Kusini.[1] Daw alilelewa kwa baba yake karibu na Kingston Kusini Mashariki mwa jimbo la Australia Kusini, na alianza kufanya kampeni mnamo 2007. Amekuwa mwanachama wa Serikali ya Australia Kusini's Roundtable for Oil and Gas, awali ikijulikana kama Round Table for the Roadmap for Unconventional Gas Projects nchini Australia Kusini. [2] Daw alieendelea kufanya kazi katika ngazi za ndani, jimbo, kitaifa na kimataifa, kushiriki katika mikutano na vikao vingi. Mnamo 2013 alialikwa kuwa mzungumzaji katika Kongamano la Kitaifa la Murray Darling Association huko Goolwa.

Marejeo hariri

  1. "Busy year for local leader". Coastal Leader. 14 February 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-14. Iliwekwa mnamo 5 October 2021.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Anne takes out Hudson award". Coastal Leader. 20 August 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-05. Iliwekwa mnamo 5 October 2021.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Daw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.