Annie MacDonald née Mitchell (1832–1897) alikuwa mfanyakazi wa ikulu ya Uingereza. Alikuwa mjakazi wa malkia Victoria kati ya mwaka 1862 na 1897.[1]

Marejeo

hariri
  1. Helen Rappaport: Queen Victoria: A Biographical Companion, 2003
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Annie MacDonald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.