Anthony Calist Komu

Anthony Calist Komu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Moshi Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017