Anthony Doerr (amezaliwa 1973) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2015, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake All the Light We Cannot See.

Anthony Doerr mnamo 2009
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Doerr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.