Anthony John Valentine Obinna

Anthony John Valentine Obinna (amezaliwa Emekukwu nchini Nigeria, tarehe 26 Juni 1946) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria.

Anthony John Valentine Obinna.

Alipata upadrisho tarehe 9 Aprili 1972.

Tarehe 1 Julai 1993 ametangazwa kuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Owerri.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.