Antifona
Antifona (kwa Kiingereza "antiphon", kutoka Kigiriki ἀντίφωνον, ambamo mna: ἀντί "kinyume" na φωνή "sauti") ni aya inayotumika mwanzoni, lakini pia mwishoni na pengine hata mara kadhaa katikati ya Zaburi au wimbo mwingine katika ibada za Ukristo.
Mara nyingi antifona inakaririwa na kwaya au mkusanyiko wote wakati beti zinaimbwa na mwimbaji pekee[1].
Tanbihi
hariri- ↑ J. McKinnon, Music in early Christian literature (Cambridge University Press, 1989), p. 10.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Antiphon "O Sapientia quae ex ore Altissimi..." ?
- Antiphon O Adonai II Great Advent Antiphon ?
- Faili:Schola Gregoriana-Antiphona et Magnificat.ogg
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antifona kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |