Antonio Bevilacqua

Antonio Bevilacqua (22 Oktoba 191829 Machi 1972) alikuwa mpanda baiskeli kutoka Italia. Alishinda Paris–Roubaix ya mwaka 1951.[1]

Marejeo

hariri
  1. "49th Paris – Roubaix, 1951". bikeraceinfo. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Bevilacqua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.