Antsiranana (au Diego-Suarez kabla ya 1975) ni mji mkuu wa mkoa wa Diana nchini Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 82,944.

Antsiranana
Antsiranana is located in Madagaska
Antsiranana
Antsiranana

Mahali pa mji wa Antsiranana katika Madagaska

Majiranukta: 12°16′0″S 49°17′0″E / 12.26667°S 49.28333°E / -12.26667; 49.28333
Nchi Madagaska
Mkoa Atsimo-Andrefana
Wilaya Antsiranana
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 82,944
Bandari ya Antsiranana

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antsiranana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.