Atsimo-Andrefana
Atsimo-Andrefana ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,018,500. Mji mkuu ni Toliara.
Atsimo-Andrefana |
|
Mahali pa Mkoa wa Atsimo-Andrefana katika Madagaska | |
Majiranukta: 23°21′S 43°40′E / 23.350°S 43.667°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 9 |
Mji mkuu | Toliara |
Eneo | |
- Jumla | 66,236 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,018,500 |
Picha za Atsimo-Andrefana
hariri-
Ifaty
-
Msitu wa Spiny
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Atsimo-Andrefana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy |