Aomori (青森市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aomori. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 315,000 wanaoishi katika mji huu.

Mkoa wa Aomori








Aomori
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Tōhoku
Mkoa Aomori
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 314,786
Tovuti:  www.city.aomori.aomori.jp

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aomori, Aomori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons