Apaye

Filamu ya Nigeria mwaka 2014

Apaye (katika Kiingereza: A Mother's Love) ni filamu ya kuigiza ya biografia ya Nigeria iliyoongozwa na Desmond Elliot na nyota wa filamu hiyo ni Clarion Chukwura, Kanayo O. Kanayo, Belinda Effah, na Mbong Amata.

Ilijitokeza kwenye Sinema ya Silverbird, Kisiwa cha Victoria, Lagos mnamo Machi 7 2014. Jukumu la ucheshi Yepayeye,hadithi ya maisha na mapambano ya Yepayeye mama wa watoto sita asie na mume anaepambana na changamoto nyingi katika maisha yake na watoto wake. [1]

Wahusika hariri

Mapokezi hariri

Nollywood Reinvented imeipa filamu hii asilimia 53% na kusifiwa kuwa ni filamu iliyokuwa na muziki na kuongozwa vizuri na filamu yenye mafanikio [2]

Marejeo hariri

  1. "Apaye film Premiere". BellaNaija. Iliwekwa mnamo 8 April 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Apaye on Nollywood Reinvented". nollywoodreinvented.com. Iliwekwa mnamo 8 May 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Apaye kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.