Apologetiki
"Apologetiki" linaweza kumaanisha:
- Watetezi wa imani: wasomi walioibuka katika karne ya 2 BK wakitetea ukweli wa Ukristo na uhalali wake katika Dola la Roma wakati wa dhuluma ya serikali yake.
- Utetezi wa Ukristo: maandishi yenye lengo la kutetea ukweli wa imani hiyo na uhalali wake katika jamii.