Arden Cho
Arden Cho (alizaliwa Agosti 16, 1985) ni mwigizaji, mwimbaji na mwanamitindo wa Marekani anayejulikana kwa nafasi yake kama Kira Yukimura katika Teen Wolf.
Arden Cho | |
---|---|
Amezaliwa | Agosti 16, 1985 |
Kazi yake | mwigizaji, mwimbaji na mwanamitindo wa marekani |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arden Cho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |