16 Agosti
tarehe
(Elekezwa kutoka Agosti 16)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Agosti ni siku ya 228 ya mwaka (ya 229 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 137.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1815 - Mtakatifu John Bosco, padre na mlezi kutoka Italia
- 1845 - Gabriel Lippmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908
- 1904 - Wendell Stanley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 1951 - Umaru Yar'Adua, Rais wa Nigeria (2007-2010)
- 1958 - Angela Bassett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1961 - Elpidia Carrillo, mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 1968 - James Patrick Stuart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1990 - Deo Munishi, mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1949 - Margaret Mitchell, mwandishi kutoka Marekani
- 1954 - Charles Warren, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1973 - Selman Waksman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952
- 1977 - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 2003 - Idi Amin Dada, rais dikteta wa Uganda (1971-1979)
- 2005 - Frere Roger (Roger Schutz), mmonaki wa Taize aliuawa kanisani na mwanamke aliyeharibika kiakili
- 2007 - Max Roach, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stefano wa Hungaria, Arsasi wa Nikomedia, Theodori wa Sion, Armaeli, Frambodi, Roko wa Montpellier, Roza Fan Hui n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |