Ariana Grande

Mwimbaji na Mwujizani (amezaliwa 1993)

Ariana Grande [Butera] (amezaliwa Boca Raton, Florida, 26 Juni 1993) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani.

Ariana Grande mwaka 2016.

Alianza kazi ya kuimba muziki wa Broadway 2008. Alianza kupata umaarufu kupitia igizo la Sam and Cat.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ariana Grande kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.