Arigo Padovan (amezaliwa tarehe 16 Juni 1927) ni mwendesha baiskeli wa zamani mbio za baiskeli barabarani, kutoka Italia, ambaye alishinda hatua katika Tour de France na Giro d'Italia.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arigo Padovan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.