Uwanja wa ndege wa Arusha
(Elekezwa kutoka Arusha Airport)
Uwanja wa ndege wa Arusha (IATA: ARK, ICAO: HTAR) ni kiwanja cha ndege cha Arusha, Tanzania.
Uwanja wa ndege wa Arusha English: Arusha Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: ARK – ICAO: HTAR – WMO: 63789 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Arusha, Tanzania | ||
Kitovu cha | Air Excel Regional Air | ||
Mwinuko Juu ya UB |
4,550 ft / 1,387 m | ||
Anwani ya kijiografia | 03°22′00″S 36°37′19″E / 3.36667°S 36.62194°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
09/27 | 1,620 | 5 315 | Lami |
Takwimu (2004) | |||
Idadi ya abiria | 87,252 |
Abiria 87,252 walipita humo mwaka 2004.
Makampuni ya ndege na vifiko
haririMakampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Precision Air | Zanzibar, Dar es Salaam |
Regional Air Services | Kilimanjaro, Manyara |
Air Excel Ltd | Manyara, Zanzibar, Seronera, Grumeti |
ZanAir | Zanzibar |
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |