Ashley Obrest

Kocha wa mpira laini wa Amerika

Ashley Obrest ni mkufunzi wa mchezo wa softiboli wa nchini Marekani ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa kujitolea katika Chuo Kikuu cha Boston.[1] Yeye ndiye kocha mkuu wa zamani katika Chuo cha Boston na Colgate.[2][3]

Mnamo Agosti 8, mwaka 2011, Ashley Obrest alitangazwa kama kocha mkuu mpya wa mchezo huu wa softiboli na Chuo cha Boston. Mnamo Mei 21,mwaka 2019, Obrest alijiuzulu kama mkufunzi mkuu wa mchezo huo huko Chuo cha Boston.[2]

Marejeo hariri

  1. "Ashley Obrest - Softball Coach". Boston University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-10. 
  2. 2.0 2.1 "Ashley Obrest - Softball Coach". Boston College Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-10. 
  3. "Obrest Resigns as Boston College Softball Head Coach". BCEagles.com. Boston College Athletics. Iliwekwa mnamo 22 May 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ashley Obrest kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.