Ashton Kutcher
Christopher Ashton Kutcher (amezaliwa tar. 7 Februari 1978) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.
Ashton Kutcher | |
---|---|
Ashton Kutcher, mnamo 2023. | |
Amezaliwa | Christopher Ashton Kutcher 7 Februari 1978 Cedar Rapids, Iowa, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1998-hadi leo |
Ndoa | Demi Moore (2005-2013) Mila Kunis (2015-hadi leo) |
Watoto | 2 |
Viungo vya Nje
hariri
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ashton Kutcher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |