7 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 7 Februari ni siku ya thelathini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 327 (328 katika miaka mirefu).

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Nola, Parteni wa Lampsako, Musa Mwarabu, Laurenti wa Manfredonia, Juliana wa Firenze, Rikardo wa Lucca, Luka Kijana, Egidi Maria wa Mt. Yosefu, Yohane wa Triora n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 7 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.