Ashuru (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Ashuru ni jina la
- Mji wa kihistoria wa Ashuru, uliokuwa mji mkuu wa milki ya Ashuru
- Mungu Ashuru aliyeabudiwa kama mungu mkuu wa utamaduni wa mji na milki ya Ashuru
- Milki ya Ashuru, dola kubwa na muhimu katika Mashariki ya Kati kuanzia karne ya 18 KK hadi mwaka 609 KK
- Ashuru mwana wa Shemu na mjukuu wa Nuhu katika historia ya Biblia